manyagag.blogspot.com. Powered by Blogger.

Ikiwa ni siku moja kabla ya kuazimisha siku ya UKIMWI duniani.Sambamba na wakumbuka wale wote wanaopigana na kufariki kwa ugonjwa huu

ni wakati wa kupima kujua Afya yako thidi ya magonjwa nyemelezi na VVU

picha juu vijana wakijadiliana wakati zoezi lakupima likiendelea.

mimi tayari wewe je????? ha ha ha kapime kaka

nilichopenda ni kwamba vijana walipima sema wapo waliokimbia kama>>>>........!!

                                                              sisi tunajali wewe je?




  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS