D'BANJ ASSIGN DEAL LA NGUVU NA SONY MUSIC ENTERTAINMENT
Global recording company Sony music entertainment is proud to announce the signing of the Nigerian Megastar D'banj to its RCA Africa label. The breakthrough deal also include the a multi-album,world wide exclusive contract with emerging Nigerian singer songwriter star Kayswitch and strategic partnership with D'banj Nigerian record label DB REC who is catalog includes artist and producers such us J soul J sleek and DeeVee.
LIQUIDEEP from SA to TZ
LIQUIDEEP anatarajia kutua bongo on 21st na atapiga show 22nd ndani ya theory groove party with DJ's Antonio ,Harrymag and Monte on decks. Alafu baadae sana mkali huyo from pande za Mandela atapanda akiwa anatamba na kibao chake cha Alone...
The video below.....
VIPI KUHUSU MCHANGANYIKO HUUU NI PREZZO na CANIBAL
NGOMA MPYA YA PREZZO AND CANIBAL(OFFICIAL VIDEO)MY CITY MY
NGOMA MPYA YA SUMALEE IKO HEWAN (exclusive)
Licha ya kuwa hali ya majonzi ya kuibiwa Gari yake yenye zaidi ya sh millioni 70 za kitanzania
mtaalam huyu wa miondoko ya kwaito "Suma Lee" kaachia single mpya itambulikayo kwa jina la HAWA na kuitunuku kwa Mashabiki wake kama zawadi ya Mwaka mpya....hallaaa