Life is always difficult,but it become more difficult when you loose physical control.mara zote tunajifunza kuwa wakamilifu japo hakuna
aliyeweza kua hata kwa asilimia 50% lakini naupenda msemo wa
ALWAYS LEARN THROUGH kwani kuna mambo ambayo daima tunayaishi toka kuzaliwa kwetu mpaka kufa kwetu hii ni sawa na kusema KABLA HUJAANGALIA WAPI UKANYAGE ANGALIA ULIKOTOKA ULIKANYAGA NINI.
0 comments:
Post a Comment